
Showing posts with label HABARI ZA ULAYA. Show all posts
Showing posts with label HABARI ZA ULAYA. Show all posts
Wednesday, December 18, 2024

MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Brazil na klabu ya Real Madrid ya Hispania, Vinícius Junior ameshinda Tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka ya 2024 a...
Tuesday, October 29, 2024
RODRI WA MAN CITY NA HISPANIA NDIYE MSHINDI WA BALLON D'PR 2024
Tuesday, October 29, 2024
KIUNGO wa Manchester City, Rodrigo Hernández Cascante 'Rodri' ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka duniani, Ballon d'Or aki...
Monday, October 28, 2024
KINDA MTURUKI ATOKEA BENCHI KUINUSURU JUVE KWA INTER
Monday, October 28, 2024
WENYEJI, FC Inter Milan usiku wa jana wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 4-4 na katika mchezo wa Serie A baina ya mahasimu hao wakubwa ...
Sunday, October 27, 2024
LEWANDOWSKI APIGA MBILI BARCA YAIKANYAGA REAL 4-0 PALE PALE BERNABEU
Sunday, October 27, 2024
MKONGWE Robert Lewandowski usiku wa jana alifunga mabao mawili kuiwezesha Barcelona kushinda 4-0 dhidi ya wenyeji, Real Madrid katika mchezo...
Sunday, September 22, 2024
JOSHUA KWISHA HABARI YAKE, ADUNDWA TENA KWA KNOCKOUT RAUNDI YA TANO
Sunday, September 22, 2024
BONDIA Daniel Dubois usiku wa jana amefanikiwa kutetea taji lake IBF uzito wa juu baada ya kumdunda kwa Knockout (KO) raundi ya tano Muinger...
Sunday, August 25, 2024
HAALAND APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA IPSWICH 4-1
Sunday, August 25, 2024
MSHAMBULIAJI Mnorway, Erling Braut Haaland jana amefunga mabao matatu kuiwezesha Manchester City kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Ip...
Thursday, August 15, 2024
MBAPPE AFUNGA LA PILI REAL MADRID YATWAA UEFA SUPER CUP
Thursday, August 15, 2024
TIMU ya Real Madrid jana ilifanikiwa kutwaa taji la UEFA Super Cup baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Atalanta Bergamo Uwanja wa Narodow...
Monday, July 15, 2024
NI HISPANIA BINGWA EURO 2024, YAICHAPA ENGLAND 2-1 UJERUMANI
Monday, July 15, 2024
HISPANIA imefanikiwa kutwaa Kombe la Mataifa ya Ulaya, Euro 2024 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya England usiku wa Jumapili Uwanja wa Olymp...
Thursday, July 11, 2024
NI ENGLAND NA HISPANIA FAINALI EURO 2024
Thursday, July 11, 2024
TIMU ya England imefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Mataifa ya Ulaya baada ya kutoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Uholanzi katika mche...
Wednesday, July 10, 2024
HISPANIA YATOKA NYUMA NA KUICHAPA UFARANSA 2-1
Wednesday, July 10, 2024
TIMU ya Hispania imefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Mataifa ya Ulaya ‘Euro 2024’ baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ufaransa katika...
Sunday, July 07, 2024
NI ENGLAND NA UHOLANZI NUSU FAINALI EURO 2024 JUMATANO
Sunday, July 07, 2024
TIMU za England na Uholanzi zimefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Ulaya 'Euro 2024' baada ya kuzitoa Uswisi na Utu...
Saturday, July 06, 2024
HISPANIA NA UFARANSA ZATINGA NUSU FAINALI EURO 2024
Saturday, July 06, 2024
TIMU za Hispania na Ufaransa zimefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Ulaya ‘Euro 2024’ baada ya kuzitoa Ujerumani na Ureno u...
Wednesday, July 03, 2024
UHOLANZI NA UTURUKI ZAKAMILISHA ROBO FAINALI EURO 2024
Wednesday, July 03, 2024
TIMU za Uholanzi na Uturuki zimefanikiwa kutinga Robo Fainali za Kombe la Mataifa ya Ulaya ‘Euro 2024’ baada ya kuzitoa Romania na Austria j...
Tuesday, July 02, 2024
URENO NA UFARANSA KATIKA ‘BONGE LA ROBO FAINALI’ EURO 2024
Tuesday, July 02, 2024
TIMU za Ufaransa na Ureno usiku wa jana zimefanikiwa kwenda Hatua ya Robo Fainali Kombe la Mataifa ya Ulaya, Euro 2024 baada ya kuzitoa Ubel...
Monday, July 01, 2024
ENGLAND NA HISPANIA ZATINGA ROBO FAINALI EURO 2024
Monday, July 01, 2024
TIMU za England na Hispania zimefanikiwa kutinga Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Ulaya ‘Euro 2024’ baada ya kuzitoa Slovakia na Georgia ...
Sunday, June 30, 2024
UJERUMANI NA USWISI ZATINGA ROBO FAINALI EURO 2024, ITALIA 'OUT'
Sunday, June 30, 2024
TIMU za Uswisi na wenyeji, Ujerumani jana wamefanikiwa kwenda Hatua ya Robo Fainali za Kombe la Mataifa ya Ulaya, Euro 2024 baada ya kuzitoa...
Thursday, June 27, 2024
NYOTA WA PSG, HAKIMI ATOA MISAADA ZAIDI YA SH. BILIONI 1 TANZANIA
Thursday, June 27, 2024
BEKI wa kimataifa wa Morocco anayechezea klabu ya PSG, Archraf Hakimi leo ametoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa wanafunzi zaidi ya 400 we...
UTURUKI NA GEORGIA NAZO ZAFUZU HATUA YA 16 BORA EURO 2024
Thursday, June 27, 2024
TIMU za Uturuki na Georgia zimefanikiwa kufuzu Hatua ya 16 Bora Kombe la Mataifa ya Ulaya ‘Euro 2024’ baada ya ushindi katika mechi zao za K...
Wednesday, June 26, 2024
AUSTRIA YAITOA UHOLANZI EURO 2024, ENGLAND NA UFARANSA ZATOA DROO ZAFUZU
Wednesday, June 26, 2024
TIMU ya Austria imefanikiwa kufuzu Hatua ya 16 Bora Kombe la Mataifa ya Ulaya ‘Euro 2024’ baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Uholanzi ka...
Tuesday, June 25, 2024
ITALIA YAIPOKONYA TONGE MDOMONI DAKIKA YA MWISHO EURO 2024
Tuesday, June 25, 2024
MABINGWA watetezi, italia wamefanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora Kombe la Mataifa Ulaya 'Euro 2024' licha ya sare ya 1-1 na Croatia k...
Subscribe to:
Posts (Atom)